• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kiangazi kikali zaidi kuwahi kushuhudiwa kwa miaka 38.

    (GMT+08:00) 2019-04-18 19:46:50
    Kiangazi kinachoendelea nchini Kenyan kitakuwa kibaya zaidi ya kwa miaka 38, huku kukiwa na uhaba wa vyakula, maji na kupanda kwa gharama ya nguvu za umeme. Shirika la IGAD limesema kwamba zaidi ya watoto laki tano chini ya miaka mitano nchini Kenya, wamo hatarini ya kupata ugonjwa wa utapio mlo. IGAD imesema kwamba, mambo yatakuwa mabaya zaidi kwa majuma yajayo kwa sababu wakulima hawana chakula cha kutosha kutokana na kiangazi. Hali hii huenda ikaleta uhsama kwenye mpaka wa Uganda na Kenya kwa sababu ya uhamaji wa raia wakitafuta chakula. Haya ni kwa mujibu wa shirika la IGAD. Kufikia sasa, bei vya vyakula nchini Kenya imeongezeka maradufu.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako