• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Shirika la Ndege la Uganda kutumia bilioni 258 kwa huduma.

    (GMT+08:00) 2019-04-18 19:47:05
    Shirika la Ndege la Kitaifa la Uganda litatumia takriban shilingi bilioni 258.5, pesa za Uganda katika utendakazi wake kwa mwaka wa kwanza wa kuendesha shughuli za usafiri wa ndege wa kitaifa. Shughuli za usafiri za Shirika hili zinarejeshwa tena baada ya kusimamishwa mwaka wa 2001. Usafiri utaanza mwezi Julai mwaka huu.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako