• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Shirika la Ndge la Rwand alaanza safari za kwenda Kinshasa.

    (GMT+08:00) 2019-04-18 19:47:22

    Shirika la kitaifa la Ndege la Rwanda lilianza usafiri wa kibiashara wa kwenda Kinshasa, jiji kuu la DR Congo, huku sekta ya kibinafsi ikisifiwa hatua hii.

    Ndege ya kwanza aina ya Boeing 737-800NG ilipaa angani saa nne za asubuhi kutoka Kigali kwenda Kinshasa hiyo jana. Shirika hili la ndege litakuwa na safari tatu kila wiki kutoka uwanja wa kimataifa wa ndege wa Kigali hadi ule wa kimataifa wa N'Djili Kinshasa, DR Congo. Safari zenyewe zitakuwa kila siku ya Jumatano, Ijumaa na Jumapili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako