• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Miradi mingi ya ushirikiano wa "Ukanda Moja, Njia Moja" kati ya China na Afrika yapata mafanikio ya awali

    (GMT+08:00) 2019-04-18 20:29:50

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang, amesema hadi sasa, kamati ya Umoja wa Afrika na nchi 37 za Afrika zilisaini makubaliano na China kuhusu ushirikiano wa kujenga pendekezo la "Ukanda Moja, Njia Moja" kwa pamoja. Miradi mingi ya ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye msingi wa pendekezo hilo imeanza na kupata mafanikio ya awali.

    Bw. Lu Kang amedhihirisha kuwa madhumuni na sekta za ushirikiano za pendekezo la "Ukanda Moja, Njia Moja" zinaendana na kuhimiza Ajenda ya Mwaka 2063 na kutimiza maendeleo na ustawi kwa nchi za Afrika, mawazo ya ushirikiano ya pendekezo hilo yanaambatana na kipengele cha uhusiano na ushirikiano kati ya China na Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako