• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi ya Mabingwa Afrika- Tshisekedi awapa moyo Mazembe

    (GMT+08:00) 2019-04-26 08:28:23
    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amewapa moyo wachezaji na benchi la ufundi la timu ya TP Mazembe ya nchini humo inayoshiriki michuano ya klabu bingwa Afrika.

    Rais Tshisekedi amesema, Mazembe ni moja ya timu kubwa barani Afrika, hivyo wananchi wa DRC wanapaswa kuipenda na kuwa wanajitokeza kwa wingi kwenda kuishangilia inapocheza kwani inawakilisha nchi hiyo.

    Amewataka mashabiki nchini humo kuiga mfano wa mashabiki wa nchini Tanzania, wanavyojitokeza kusapoti timu zao. TP Mazembe itakutana na Esperance ya Tunisia Jumamosi hii mjini Tunisia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako