• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KRIKETI: Rwanda uso kwa uso na Nigeria, mechi ya ufunfuzi ya kufuzu kombe la dunia

    (GMT+08:00) 2019-04-26 08:28:40
    Timu ya taifa ya wanawake ya Kriketi ya Rwanda inakabiliwa na kibarua kigumu katika michuano ya kufuzu kombe la dunia mchezo huo kwa upande wa wanawake.

    Rwanda imepangwa kundi A pamoja na Tanzania, Zimbabwe, Nigeria na Msumbiji, huku kundi B likiwa na timu za Uganda, Kenya, Namibia na Sierra Leone. Michuano ya ufunguzi itafanyika Mei 5, Rwanda itacheza mchezo wake wa pili Mei 8 na Msumbiji, na Mei 9 itakutana na Zimbabwe kabla ya kukutana na Tanzania Mei 11.

    Michuano ya kombe la dunia ya Kriketi kwa wanawake itafanyika Februari 21 hadi Machi 8 mwakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako