• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Hiki ndio kikosi bora cha PFA 2019, Virgil amshinda Sterling

    (GMT+08:00) 2019-04-26 08:31:24
    Beki wa Liverpool Virgil van Dijk ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya PFA ya mchezaji bora wa mwaka 2019 akimzidi Raheem Sterling wa Mancheser City ambaye alikuwa akiwania nae tuzo hiyo, tuzo hiyo ya chama cha wachezaji soka wakulipwa mwaka jana alishinda tena staa wa Liverpool Mohamed Salah hivyo tuzo imerudi tena Liverpool.

    Liverpool wametoa jumla ya wacheza wanne ambao ni Virgil van Dijk, Sadio Mane, Robertson na Alexander Arnold wakati Man City wakiwa wametoa wachezaji wengi zaidi Sergio Aguero, Raheem Sterling, Benardo Silva, Fernandinho, Laporte na Ederson.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako