• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • ATCL kupata ndege zingine 2.

    (GMT+08:00) 2019-04-26 20:32:06
    Ndege nyingine mpya aina ya Bombadier D8 Q400 na Boeing B787-8 Dreamliner, zinatarijiwa kutua nchini Tanzania mwishoni mwa mwaka huu. Naibu waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashashta Nditiye amesema hayo bungeni wakati akijibu maswali kutoka kwa wabunge.

    Nditiye anasema kwamba matarajio ya serikali ni kuwa ujio wa ndege hizo mbili utawezesha kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kuwa na ndege za kutosha na kutoa huduma za usafiri wa anga kwa ufanisi na tija. Aliongeza kuwa ATCL itakuwa na mtandao wa safari mikoa mingine na safari kikanda na kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako