• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Messi kwenye rekodi mpya ya ubingwa wa LaLiga 2018/2019

    (GMT+08:00) 2019-04-29 08:06:18

    Ilikuwa usiku wa April 27 klabu ya Uhispania, Barcelona iliingia katika habari za soka duniani kufuatia kukabidhiwa rasmi taji la la ligi kuu ya Uhispania LaLiga msimu wa 2018/2019 ikiwa ni taji lao la 26 la LaLiga msimu huu.

    Kwa upande wa Lionel Messi, amedumu katika klabu hiyo kwa muda mrefu amefanikiwa kushuhudia klabu yake hiyo wakitwaa taji hilo mara 10 akiwa katika kikosi cha klabu hiyo. Barcelona wamechukua ubingwa huo huku wakiwa na michezo mitatu mkononi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako