• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonyesho ya kimataifa ya kilimo cha maua ya mwaka 2019 ya Beijing yaanza kupokea watalii

    (GMT+08:00) 2019-04-29 19:44:58
    Maonesho ya kimataifa ya kilimo cha maua ya mwaka 2019 ya Beijing, leo saa 3 asubuhi yameanza rasmi kupokea watalii, hii inamaanisha kuwa maonesho hayo yatakuwa wazi kwa watalii wa China na nchi za nje kwa siku 162 mpaka tarehe 7, Oktoba.
    Wafanyabiashara wa China na nchi za nje walioshiriki kwenye maonesho hayo na wawakilishi wa sekta mbalimbali zaidi ya 800 wamehudhuria ufunguzi wa maonesho hayo.
    Baada ya ufunguzi huo, watalii wa kikundi cha kwanza walitembea maonesho hayo na kupiga picha kwenye vivutio na majumba ndani ya bustani ya maonesho hayo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako