• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mauzo ya Kenya nchini Marekani chini ya AGOA yaongezeka

    (GMT+08:00) 2019-04-29 19:52:21

    Mauzo ya bidhaa zisizotozwa ushuru kutoka Kenya kwenda Marekani kupitia kwa makubaliano ya AGOA yaliongezeka kwa asilimia 25 mwaka uliopita.

    Data kutoka kwa kituo cha kitaifa cha taakwimu inaonyesha kuwa mauzo yaliongezeka kutoka shilingi bilioni 33 hadi bilioni 41.

    Chini ya AGOA Kenya huuza nchini Marekani aina ya bidhaa 6,000 hasa nguo bila kulipia ushuru.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako