• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Laini za simu zisizosajiliwa kufungwa

    (GMT+08:00) 2019-04-29 19:54:05

    Serikali nchini Uganda itafunga lazini zote za simu ambazo hazijasajiliwa ifikapo Mei 1.

    Kampuni ya mawasiliano ya MTN imetoa notisi kwa wateja wake kusajili laini zao kabla ya tarehe hiyo.

    Tume ya mawasiliano nchini humo imesema kuwa kampuni zote za mawsiliano tayari zimekubaliana na agizo la serikali la kusajili laini za wateja wao.

    Tume hiyo imesema kuwa usajili huo utasaidia kusimamia vyema sekta hiyo na pia kukuza usalama wa nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako