• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa noti mpya mwezi Agosti

    (GMT+08:00) 2019-04-29 19:54:53

    Benki kuu ya China leo imetangaza kuwa itatoa toleo la tano la noti mpya za Yuan 50, Yuan 20, Yuan 10, na Yuan 1 na sarafu za Yuan 1, senti 50 na senti 10.

    Toleo hili linafanana na toleo lililopita, lakini kuna mabadiliko kidogo ya picha na alama za siri kwenye noti na sarafu hizo. Toleo hili linatumia teknolojia ya kisasa ya kupambana utengenezaji na fedha bandia, kuinua kiwango cha kupambana kutengeneza fedha bandia na kuboresha sifa ya uchapishaji, ili kurahisisha watu na mashine za kujihudumia kuzithibitisha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako