• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya (UEFA Champions League)-Tottenham kuivaa Ajax leo, kesho Barca dhidi ya Liverpool

    (GMT+08:00) 2019-04-30 10:07:10

    Michuano ya kwanza ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya inayojulikana zaidi kama UEFA Champions League inapigwa leo usiku kwa mchezo kati ya Tottenham Hotspur ya Uingereza dhidi ya Ajax ya Uholanzi.

    Kesho vigogo wawili wa soka, Barcelona ya Uhispania ikiwa bado ina ari baada ya kunyakua ubingwa wa LaLiga itakutana uso kwa uso na Liverpool ya Uingereza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako