• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaadhimisha miaka 100 ya vuguvugu la Mei, 4

    (GMT+08:00) 2019-04-30 10:45:30

    Mkutano wa kuadhimisha miaka 100 ya vuguvugu la Mei4 umefanyika leo hapa Beijing. Akihutubia mkutano huo, Rais Xi Jinping wa China amesema kuwa katika miaka 100 iliyopita, vuguvugu la Mei 4 lililoshangaza ndani na nje lilitokea nchini China, ni tukio lenye maana kubwa katika historia ya kisasa ya China.

    Tarehe nne, Mei, mwaka 1919, kufuatia serikali ya Beiyang kujirudi nyuma kidiplomasia na kushindikana kwenye Mkutano wa Amani wa Paris, vijana wenye ujuzi wa China walizindua kampeni ya mapinduzi ya kizalendo kote nchini China, na kuitikiwa na watu wa sehemu mbalimbali, hatua ililiokoa taifa la China kwenye hatari. Vuguvugu la Mei, 4 limefanya kazi kubwa katika shughuli za kujipatia uhuru na kutafuta maendeleo ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako