• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya mambo ya nje ya China yasisitiza Marekani isimamishe kuingilia mambo ya ndani ya China kisingizio cha dini

    (GMT+08:00) 2019-04-30 19:36:28

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang tarehe 30 hapa Beijing amesema China inaihimiza Marekani iache kuingilia mambo ya ndani ya China kwa kisingizio cha dini.

    Hivi karibuni kamati ya uhuru wa kuamini dini ya kimataifa ya Marekani ilitoa ripoti ya mwaka 2019 na kulaumu hali ya uhuru wa kuabudu nchini China. Bw. Geng Shuang amesema China ni nchi inayofuata utawala wa kisheria, serikali ya China inalinda uhuru wa raia kuabudu kwa mujibu wa sheria. Watu wote wa makabila mbalimbali wa China wana uhuru wa kuabudu kwa pande zote. Pia sheria ya China hairuhusu mtu yeyote kufanya shughuli za kukiuka sheria kwa kutumia dini. Pia amesema China inaitaka Marekani kuheshimu hali halisi na kuacha kutoa ripoti hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako