• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hatua mpya za kufungua mlango za China kuongeza uhai kwenye sekta za benki na bima

    (GMT+08:00) 2019-05-02 18:36:21

    Mwenyekiti wa Tume ya Kusimamia Benki na Bima nchini China Bw. Guo Shuqin amesema, China inatarajia kutumia vizuri zaidi mazingira ya uwekezaji na utendaji kwa wawekezaji wa kigeni katika sekta yake ya fedha kwa hatua mpya za kufungua zaidi eneo hilo.

    Amesema jumla ya kanuni 12 zitatolewa hivi karibuni katika msingi wa utafiti na tathmini ya kina, ambazo pia zitachochea uwepo zaidi wa uwekezaji wa kigeni katika maendeleo ya sekta ya fedha ya China.

    Msemaji wa tume hiyo Xiao Yuanqi amesema, sheria kamili katika kanuni za benki na kampuni za bima za kigeni zimefanyiwa marekebisho kuendana na kanuni mpya, na zitatolewa hivi karibuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako