• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Utandazaji wa mabomba ya gesi majumbani kuanza hivi karibuni.

    (GMT+08:00) 2019-05-02 18:48:11

    Wizara ya Nishati imesemakazi ya kutandaza mabomba ya gesi kwa ajili ya matumizi ya majumbani kwa mkoa wa Lindi, inatarajia kuanza mwishoni mwa mwezi huu. Hii ni kauli yake Waziri wa Nishati Dk. Medard Kalemani, alipokuwa akijibu maswali wa wabunge hiyo jana.

    Waziri alisema kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha wananchi wanafurahia rasilimali inayopatikana katika eneo lao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako