• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Walanguzi wa pamba waonywa

    (GMT+08:00) 2019-05-02 18:49:24

    Serikali ya Tanzania imewaonya walanguzi wa pamba ambao wameanza kununua zao hio kabla ya msimu uliopangwa. Onyo hilo limetolewa bungeni hiyo jana, na naibu waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa,ambaye amesema serikali kikamilifu katika msimu huu.

    Kulingana na naibu waziri, msimu mpya unaanza hii leo, na kwamba taratibu zote zimekamilika. Tayari serikali na vikao imetoa mapendekezo yote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako