• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Utumiaji wa simu katika kutuma na kupokea pesa umekuwa ghali mno.

    (GMT+08:00) 2019-05-02 18:49:54

    Kulingana na ripoti ya utafiti uliofanywa na Twaweza, takriban asilimia 79 ya Waganda wanasema kwamba huduma za pesa kwa simu ya mkono imekuwa ghali mno.Kulingana na ripoti hiyo, ushuru unaotozwa watumiaji wa huduma hii ni ya juu sana na hivyo kuwahujumu wananchi wa kiwango cha chini.

    Mwaka uliopita, serikali ya Uganda iliongeza ushurukwa asilimia 0.5 kwa huduma za pesa kwa simu ya mkono kutoka asilimia 10 hadi 15. Kufuatia ongezeko hili, kampuni za kutoa huduma hizi zimeandikisha matokeo duni kwa kukosa wateja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako