• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Equity kununua asilimia 62 ya hisa kwenye benki ya BPR Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-05-02 20:03:21

    Benki ya Equity kutoka Kenya imesema kuwa itanunua asilimia 62 ya hisa kwenye benki ya BPR.

    Mkurungezi wa BRP Maurice Toroitich amethibitisha kuwa Equity itanunua hisa hizo na kwamba mchakato unaendelea.

    Hata hivyo amesema ununuzi huo utakamilika baadaye mwaka 2020 baada ya kufanikisha makubaliano yote husika.

    Toroitich ameyataja makubaliano hayo kuwa yatakayonufaisha soko la kifedha la Rwanda.

    Alisema pindi tu benki hizo zitakapoungana kutakuwa na benki moja kubwa na kuongeza mtaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako