• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Sekta ya bima na benki yaongeza ajira 500

    (GMT+08:00) 2019-05-02 20:05:23

    Utafiti wa kiuchumi wa mwaka 2019 nchini Kenya unaonyesha kuwa sekta za benki na bima zilichangia ajira 500 mwaka 2018..

    Hata hivyo kasi ya upatikanaji wa ajira ilisalia chini huku benki na bima kadhaa zikipunguza waajiri.

    Utafiti huo unaonyesha kuwa sekta ya fedha na bima hadi sasa imeajiri watu 64,000 lakini ongezeko la mwaka jana lilikuwa ni asilimia 0.79 tu.

    Hata hivyo waajiriwa kwenye taasisi za huduma za kifedha ndio wanaolipwa mishahara ya juu miongoni mwa mashirika ya kibinafsi huku wakipokea wastani wa dola 1, 500 kwa mwezi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako