• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za pole kwa rais wa Russia kutokana na ajali ya ndege iliyosababisha vifo vya watu wengi

    (GMT+08:00) 2019-05-06 20:58:17

    Rais Xi Jinping wa China leo ametoa salamu za pole kwa rais Vladimir Putin wa Russia kutokana na ndege ya Russia iliyotua kwa dharura kwenye Uwanja wa Ndege wa Sheremetyevo huko Moscow, na kusababisha vifo vya watu wengi.

    Kwenye salamu hizo rais Xi amesema kwa niaba ya serikali na watu wa China, ametoa salamu za maombolezo kutokana na watu waliofariki na kutoa salamu za pole waliojeruhiwa, na salamu za rambirambi kwa wafiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako