• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wafanyabiashara wa Rwanda wanapiga jicho fursa za biashara katika soko la China

    (GMT+08:00) 2019-05-07 19:56:10
    Wafanyibiashara wa Rwanda wa ndani ambao wanaonyesha bidhaa zao katika Maonyesho ya Kimataifa ya kilimo Beijing ya 2019 wameonyesha nia ya kuingia katika soko la Kichina kwa lengo la kuongeza mauzo katika soko la Asia.

    Biashara za Rwanda ziliweka wazi mipango yao kwa maonyesho yaliyozinduliwa na Rais wa China Xi Jinping.

    Rwanda ni miongoni mwa nchi zaidi ya 100 na mashirika ya kimataifa ambayo itakuwaikionyesha bidhaa na huduma zao katika maonyesho hayo huko Beijing nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako