Waziri amesema tayari, timu ya serikali inaandaa karatasi ya baraza la mawaziri ambalo litaelekeza majadiliano ya uzuri na ubaya wa kuzalishaji wa kibiashara wa bangi, kabla ya uamuzi wa mwisho.
Kwa sasa, uzalishaji na matumizi ya bangi na bidhaa zake ni kinyume cha sheria nchini Uganda, baada ya kufutwa na serikali ya kikoloni mwaka 1902.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |