• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Kenya imeungana na Uganda kupiga marufuku michezo yote ya kamari

    (GMT+08:00) 2019-05-07 19:57:36
    Serikali ya kenya imeungana na Uganda kupiga marufuku michezo yote ya kamari na kuagiza kusitisha mara moja matangazo yeyote ya michezo hiyo.

    Taarifa iliyoptolewa na bodi inayosimamia michezo hiyo mwanzoni mwa mwezi imesema ni marufuku kutanganza tangazo lolotye linalohamamsisha kamari katika televesheni, redio au katika gazeti.

    Bodi hiyo imesema lengo la hatua hiyo ni kuikinga jamii kutikana na athari za michezo hizo, hasa vijana .

    vijana wamefikia hatua ya kuacha kujishughulisha na kazi badala yake wamejiingiza katika michezo hiyo.

    Na kuzembea katika kuinua uchumi wa nchini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako