• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda,na Kenya gharama kubwa ya kuishi

    (GMT+08:00) 2019-05-08 20:51:55

    Uganda na Kenya waligongwa na gharama kubwa ya kuishi mwezi ulioishia Aprili, kulingana na takwimu iliyotolewa na ofisi za takwimu ya nchi mbili.

    Mfumuko wa bei wa mwezi ulioisha Aprili kwa mtiririko Kenya ndiyo iliyorekodi ya juu.

    Mfumuko wa bei wa juu ulichangiwa na hali mbaya ya hewa na bei kubwa ya mafuta.

    Mfumuko wa bei ya mwezi baada ya mwezi Uganda uliongezeka hadi asilimia 3.5 mwezi Aprili kutoka asilimia 3 mwezi Machi wakati Kenya iliona gharama kubwa zaidi ya kuishi katika miezi 19 kama mfumuko wa bei ulipanda hadi asilimia 6.58 kutoka asilimia 4.35 wakati kama huo mwaka jana .

    Kulingana na Ofisi ya Takwimu ya Uganda (Ubos), ongezeko la gharama za maisha wakati wa Aprili ilitokana na matokeo ya kupanda kwa bei ya chakula na mafuta ikiwa bei ya matunda na mboga ikiumia zaidi. Hata hivyo, asilimia 3.5 bado ni chini ya lengo la Benki Kuu ya asilimia 5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako