• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Walinzi wa usalama wa kibinafsi sawa na walinda lango nchini Kenya, wametoa taarifa ya mgomo wa siku 21

    (GMT+08:00) 2019-05-08 20:52:16

    Walinzi wa usalama wa kibinafsi sawa na walinda lango nchini Kenya, wametoa taarifa ya mgomo wa siku 21 kwa waajiri wao kupitia mishahara yao.

    Mgomo unatokana na mishahara ya chini ambayo hivi sasa haiwezi kukidhi gharama ya maisha.

    Walinzi wametoa wito kwa Wizara ya leba kukuja na mshahara wa chini kulingana na utafiti wa kina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako