• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mali gushi yenye thamani ya Sh milioni 100 ilikamatwa Aprili

    (GMT+08:00) 2019-05-08 20:52:29

    Mali gushi yenye thamani ya Sh milioni 100 ilikamatwa mwezi mmoja uliopita katika sehemu mbalimbali za nchi na Mamlaka ya Kupambana mali feki (ACA).

    Utafiti unaonyesha kuna uwiano mkubwa kati ya biashara isiyo halali na kupungua kwa ukuaji wa uchumi, maendeleo ya sekta ya ndani na viwango vya ukosefu wa ajira.

    Mkurugenzi Mtendaji wa ACA, Elema Halake, amesema wawekezaji wasiokuwa waminifu wanazidi kugeuza njia na sasa wanahusika katika sehemu mbali mbali.

    Mamlaka inaimarisha uwezo wa kuchunguza bidhaa bandia kwenye bandari za kuingia kupitia matumizi ya teknolojia ya kisasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako