• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Kipchoge afikiria kuiduwaza dunia mara nyingine

    (GMT+08:00) 2019-05-09 08:00:32
    Eliud Kipchoge mwanariadha wa Kenya kwa mara ya pili ametangaza tena kuwa atajaribu kukimbia chini ya muda wa saa 2:00 au chini zaidi ya hapo kwenye mashindano ya riadha ya dunia.

    Hakuna mwanariadha yeyote duniani au kwenye historia ya mbio hizo zilizoanzishwa karne zilizopita amewahi kutimka chini ya muda wa saa 2:00

    Licha ya kuwa rekodi hiyo haitambuliwi na shirikisho la riadha duniani (IAAF) kutokana na vigezo vyake.

    Kipchoge amebainisha kuwa, endapo atafanikiwa kuweka rekodi hiyo, itakuwa ni jambo kubwa katika taaluma yake na kuwa daima historia itamkumbuka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako