• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KRIKETI: Michuano ya kufuzu kombe la dunia mchezo wa Kriketi, Rwanda kuvaana na Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2019-05-09 08:01:11
    Timu ya kriketi ya Rwanda leo itashuka uwanjani kuvaana na timu ya Zimbabwe michuano ya kufuzu kombe la dunia la kriketi kwa wanawake inayoendelea nchini humo.

    Baada ya kufanya vizuri kwa kuishinda timu ya Nigeria na Msumbiji, Rwanda baada ya mchezo wa leo na Zimbabwe, itakamilisha ratiba ya kundi B kwa kucheza na Tanzania siku ya Jumamosi ya wikiendi hii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako