• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa taarifa kuhusu mpango wa Marekani wa kuongeza ushuru dhidi ya bidhaa za China

    (GMT+08:00) 2019-05-09 09:01:18

    Marekani imetangaza kuongeza kiwango cha ushuru wa forodha dhidi ya bidhaa za China zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 200 hadi kufikia asilimia 25 kutoka asilimia 10 ya awali, hatua ambayo itatekelezwa kuanzia Mei 10.

    China imetoa taarifa kuhusu uamuzi huo ya Marekani, ikisema kuongeza mgogoro wa kibiashara hakuendani na maslahi ya watu wa nchi hizo mbili na dunia nzima. Pia China imesikitishwa na uamuzi huo wa Marekani, na kama hatua hiyo ikitekelezwa, China italazimika kuchukua hatua za lazima za kujibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako