• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa wito wa kutafuta ufumbuzi wa kisiasa wa msukosuko wa Venezuela

    (GMT+08:00) 2019-05-09 09:32:00

    China imeeleza nia yake ya kuwasiliana zaidi na jumuiya ya kimataifa ili kuhimiza utatuzi wa kisiasa wa msukosuko wa Venezuela. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Geng Shuang amesema, katika suala la Venezuela, China inaahidi kushikilia Katiba ya Umoja wa Mataifa na kanuni za kimsingi za kushughulikia mahusiano ya kimataifa. Pia China inaamini kuwa suala hilo linapaswa kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo shirikishi ya kisiasa katika msingi wa kuheshimu Katiba kati ya serikali ya Venezuela na upinzani, na inapinga uingiliaji wa nje na vikwazo vya upande mmoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako