• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yatangaza vikwazo dhidi ya sekta ya madini ya Iran

    (GMT+08:00) 2019-05-09 09:32:46

    Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa nchi hiyo inaweka vikwazo dhidi ya sekta za chuma, chuma cha pua, alumini na shaba nchini Iran. Taarifa iliyotolewa na rais Donald Trump inasema sekta hizo zinailetea Iran fedha nyingi za kigeni zikifuata mafuta ghafi, na Marekani itaiwekea Iran vikwazo zaidi kama nchi hiyo haitabadili mwenendo wake. Vikwazo hivyo ni pamoja na hatua mpya ya Marekani ya kutoa shinikizo kubwa zaidi dhidi ya Iran, ambayo inakuja mwaka mmoja baada ya serikali ya sasa ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran mwezi Mei mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako