• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya wanasheria wa Bibi Meng Wanzhou yasema kumshikilia Bibi Meng ni kitendo haramu

    (GMT+08:00) 2019-05-09 17:58:07

    Mahakama kuu ya Jimbo la British Columbia ya Canada imesikiliza kesi ya mkurugenzi mkuu wa fedha wa kampuni ya Huawei Bibi Meng Wanzhou. Kwenye mahakamani, timu ya wanasheria wa Bibi Meng imeeleza kuwa, dai la Marekani la kumfikisha Meng Wanzhou nchini Marekani ili ahukumiwe halina msingi, na kwamba kumshikilia Bibi Meng kwa Canada pia ni kitendo haramu.

    Wanasheria wa Bibi Meng wameeleza kuwa kauli alizotoa rais Donald Trump wa Marekani kuhusu kesi ya Bibi Meng Wanzhou imeonesha kuwa hii ni kesi yenye madhumuni ya kisiasa.

    Jaji hajatoa hukumu ila tu imetoa uamuzi wa kusikiliza tena kesi hiyo kuanzia tarehe 23 hadi 25 Septemba, na halafu kuanzia tarehe 30 Septemba hadi tarehe 10 Oktoba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako