• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: Mtanzania na Muafrika Kusini kuchezesha kikapu michuano ya dunia

    (GMT+08:00) 2019-05-10 08:32:03
    Ikiwa ni siku chache baada ya shirikisho la mpira wa kikapu la kimataifa (FIBA) kumteua Karim Zulficar kusimamia mashindano ya kombe la dunia la mchezo huo, mwamuzi huyo amebainisha kuwa ataitendea haki fursa hiyo adimu aliyoipata.

    Zulficar ni miongoni mwa waafrika wawili walioteuliwa na FIBA kusimamia mashindano hayo yanayoanza Agosti 31 hadi Septemba 15 hapa nchini China.

    Upande wa Afrika, Zulficar na mwenzake toka Afrika Kusini ndio wamepata nafasi hiyo huku Amerika, Ulaya na Asia kila moja ikitoa makamisaa wawili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako