• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Kikosi cha riadha cha Kenya kinamatumaini makubwa ya kufanya vizuri

    (GMT+08:00) 2019-05-10 08:32:22
    Nahodha wa kikosi cha Kenya, Aaron Koech amesema kikosi cha wanariadha wenzake wanamatumaini ya kuendeleza ubabe na kupeperusha vyema bendera ya taifa lao jijini Yokohama Japan wikiendi hii katika mashindano ya mbio za vijiti yatakayofanyika Mei 11 na 12.

    Koech ameeleza kwamba kinachowapa matumaini zaidi ni kuwa, mazoezi yamefanyika vizuri bila kuwa na majeruhi. Kikosi cha wanariadha wa Kenya kinachoshiriki mashindano hayo kinajumuisha wanariadha 24 na maafisa 9.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako