• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KRIKETI: Uganda kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kriketi kwa wanaume, yataja kikosi cha maangamizi

    (GMT+08:00) 2019-05-10 08:32:41
    Uganda itakuwa mwenyeji wa mashindano ya Kriketi ya Afrika kwa wanaume yanayotarajiwa kuanza Mei 17 hadi 25 mwaka huu nchini humo.

    Mwenyekiti wa shirikisho la mchezo huo nchini humo Bashir Ansasira amesema, mashindano hayo yanashirikisha timu kutoka Kenya, Botswana, Namibia, Nigeria, Ghana na wenyeji Uganda.

    Jumla ya wachezaji 16 wameitwa kuunda kikosi cha maangamizi cha timu hiyo. Huku nahodha wa timu hiyo, Roger Mukasa amewahakikishia waganda kuwa timu hiyo itafanya vizuri na kuibuka washindi licha ya michuano hiyo itakuwa migumu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako