• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: Durant atakosa mechi ya 6 kutokana na kuumia

    (GMT+08:00) 2019-05-10 08:33:45
    Mshambuliaji wa timu ya Golden State Warriors ya nchini Marekani inayoshiriki ligi kuu ya kikapu nchini humo (NBA) Kevin Durant atakaa benchi na kukosa mechi ya 6 itakayochezwa usiku wa leo mjini Houston Marekani kutokana na kuumia wakati timu yake ilipocheza mechi ya 5 na Houston Rockets Jumatano hayo yamebainshwa na kocha wa timu hiyo Steve Kerr.

    Durant huenda akarejea uwanjani katika mchezo wa 7 wakati timu yake itakapocheza Jumapili katika uwanja wa Oracle.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako