• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Pochettino azungumzia kikosi chake, mchezo wao dhidi ya Liverpool

    (GMT+08:00) 2019-05-10 08:34:06
    Mara baada ya ushindi wa Tottenham Hotspur dhidi ya Ajax ya Uholanzi, kocha wa klabu ya Tottenham Mauricio Pochettino ameelezea hisia zake mbele ya vyombo vya habari na kumpongeza kocha wa Liverpool Jurgen Klopp na wachezaji wake na kueleza kuwa itakuwa ni fainali ya ajabu sana kutokana na presha ya nje ya uwanja akimaanisha mashabiki wa timu hizo mbili.

    Tottenham na Liverpool zote za Uingereza zitakutana katika mchezo wa fainali utakapigwa Juni mosi jijini Madrid Uhispania katika uwanja wa Wanda Metropoliano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako