• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini aongoza mazoezi ya kijeshi katika mstari wa mbele wa magharibi

    (GMT+08:00) 2019-05-10 09:22:36

    Shirika la habari la Korea Kaskazini KCNA limeripoti kuwa kiongozi mkuu wa nchi hiyo Kim Jong Un ameongoza mazoezi ya kijeshi ya vitengo vya ulinzi vya jeshi la nchi hiyo yaliyofanyika jana Alhamisi katika mstari wa mbele wa magharibi. Wakati huohuo, makao makuu ya jeshi la Korea Kusini yamesema roketi mbili zilirushwa kutoka Sino-rin katika mkoa wa Pyongan Kaskazini nchini Korea Kaskazini kuelekea eneo la mashariki, na kuongeza kuwa inaaminiwa kuwa Korea Kaskazini imerusha kwa majaribio makombora mawili ya masafa ya kati.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako