• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakuu wa mashirika ya UM watoa wito wa hatua halisi za kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa

    (GMT+08:00) 2019-05-10 09:23:44

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amefungua mkutano wa siku mbili wa bodi ya wakurugenzi wakuu wa Mfumo wa Umoja wa Mataifa, ambapo wakuu wa taasisi za Umoja huo wamesisitiza hatua halisi za kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa kabla ya mkutano wa kilele wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Umoja wa Mataifa. Taarifa ya pamoja iliyotolewa imesema wakuu hao wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wameeleza ahadi zao za kuinua viwango vyao vya kuitikia mahitaji ya nchi wanachama wao ili kupunguza athari mbaya zinazotokana na mabadiliko ya hali ya hewa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako