• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani kutatatua suala la Korea Kaskazini kwa kupitia njia ya kidiplomasia

    (GMT+08:00) 2019-05-10 18:45:54

    Kaimu waziri wa ulinzi wa Marekani Bw. Patrick Shanahan amesema nchi hiyo itatatua suala husika na Korea Kaskazini kwa kupitia njia ya kidiplomasia.

    Bw. Shanahan anasema, amefahamu vitu vilivyorushwa kwa majaribio na Korea Kaskazini hapo awali, lakini Marekani haitaongelea hali halisi, na haitabadilisha msimamo wake wa kujilinda.

    Wakati huohuo, waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Bw. Mike Pompeo amekutana na katibu mkuu wa Baraza la Mawaziri la Korea Kaskazini Bw. Yoshihide Suga mjini Washington. Pande hizo mbili zimesisitiza ahadi yao ya kutimiza kutokuwa na nyuklia nchini Korea Kaskazini.

    Ikulu ya Korea Kusini imeeleza wasiwasi wake juu ya vitendo vya Korea Kaskazini, na kusema vitendo hivyo havisaidii kuboresha uhusiano na hali mbaya kwenye Peninsula ya Korea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako