• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China atoa maagizo muhimu wakati wa Siku ya tatu ya chapa za bidhaa ya China ya mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2019-05-10 20:54:00

    Leo tarehe 10 Mei ni siku ya tatu ya chapa za bidhaa ya China, shughuli za siku hiyo kwa mwaka 2019 zimeanza mjini Shanghai.

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang ametoa maagizo muhimu akisema, kuimarisha ujenzi wa ushawishi wa chapa za bidhaa, kuhimiza maendeleo ya sekta ya utengenezaji na utoaji wa huduma za kisasa, ni hatua muhimu zinazoendana na mwelekeo wa kupanda ngazi kwa matumizi, kuonesha mustakabali mkubwa wa soko la ndani, na kuhimiza maendeleo yenye kiwango cha juu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako