• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Muungano wa kimkakati wa chapa za bidhaa za China wazinduliwa

    (GMT+08:00) 2019-05-11 17:55:41

    Muungano wa kimkakati wa chapa za bidhaa za China ulioundwa na kituo kikuu cha radio na televisheni cha China umezinduliwa jana, hapa Beijing. Wanachama wa awamu ya kwanza wa muungano huo ni pamoja na idara 1,200 za kamati na wizara za serikali kuu, serikali za mitaa, makampuni, vyuo vikuu, mashirika ya utafiti wa sayansi na mashirikisho ya sekta mbalimbali.

    Idara hizo zimetoa pendekezo la pamoja kuwa, muungano huo utaunganisha nguvu za sekta mbalimbali, kuonesha umuhimu wa chapa za bidhaa kwa ajili ya maendeleo yenye sifa bora ya makampuni, kushirikiana kutia nguvu kwa mkakati wa kustawisha nchi kupitia chapa za bidhaa, ili kukidhi mahitaji ya wananchi kuwa na maisha mazuri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako