• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Filamu ya documentary ya "Asia-mwanga wa Ustaarabu" yarushwa hewani

    (GMT+08:00) 2019-05-11 17:57:27

    Kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wa mazungumzo kati ya ustaarabu wa Asia, kituo kikuu cha radio na televisheni cha China kimetengeneza na kurusha filamu ya documentary ya "Asia-mwanga wa Ustaarabu".

    Filamu hiyo ina sehemu tatu, ikiwa ni pamoja na kuonyesha maendeleo ya ustaarabu wa Asia na picha nzuri za ustaarabu wa Asia katika historia ya dunia. Filamu hiyo inaonyesha mchakato wa kihistoria wa kuibuka, kuanzishwa, kukua, kustawishwa, kuingiliana na kuathiriana kwa ustaarabu wa Asia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako