• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • India yapanga kurusha chombo cha uchunguzi kuhusu sayari ya mwezi cha Chandrayaan-2 mwezi Julai

    (GMT+08:00) 2019-05-13 08:38:51

    India inapanga kurusha chombo cha pili cha kuchunguzaleleza sayari ya mwezi cha Chandrayaan-2 Julai 9 hadi 16 mwaka huu. Chombo hicho chenye uzito wa tani 3.8, ambacho kitabeba zana 14 za utafiti, kinatarajiwa kutua kwenye ncha ya kusini ya sayari ya mwezi Septemba sita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako