• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) Leo ni vita ya kibabe

    (GMT+08:00) 2019-05-13 10:09:09
    Leo nyasi za uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam zitawaka moto zitakapokutanisha Simba na Azam za jijini humo katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara huku Wekundu wa Msimbazi Simba wakihitaji ushindi kwa namna yoyote ili kujiimarisha katika nafasi ya kutetea ubingwa huo.

    Kwasasa vinara wa ligi hiyo ni Simba ambao wanaongoza kwa kuwa na alama 81 baada ya kucheza mechi 32, Yanga wanashika nafasi ya pili wakiwa na alama 80 katika michezo 35 ambazo ni sawa na Azam iliyo katika nafasi ya tatu kwa alama 68.

    Mchezo wa mzunguko wa kwanza, Simba waliibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar. Leo je Azam itapindua matokeo?

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako