• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mzunguko wa nne wa mashindano ya pikipiki wafikia patamu

    (GMT+08:00) 2019-05-13 10:09:29
    Mzunguko wa nne wa mashindano ya mbio za pikipiki nchini Uganda zimefikia hatua nzuri baada ya mzunguko wa tatu kukamilika mwishoni mwa wikiendi huku Asharaf Mbabazi akiongoza kwa alama 175, aikifuatiwa na Jonathan Katende amemaliza kwa alama 146 na nafasi ya tatu imekamilishwa na Liam Ntale aliyepata alama 132.

    Katika mzunguko wa nne mwendesha pikipiki Arthur Blick Jr atavaana na Ponsiano Lwakataka, naye Alesteir Blick atakutana na Ali Omar, huku Paddy Blick yeye atashindana na Wazir Omar, na mbio za mwisho zitakuwa baina ya Hussein Mukuye na Musa Nsubuga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako