• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wazee wa ndondi muda unataradadi, ni Pacquiao na Thurman

    (GMT+08:00) 2019-05-13 10:10:11
    Hakuna namna kwa bondia ambaye pia ni Seneta nchini Ufilipino Manny Pacquiao atakutana na bondia Keith Thurman wa Marekani, pambano litapigwa Julai 20 jijini Las Vegas nchini Marekani.

    Pacquiao amebainisha uwepo wa pambano hilo na kusema hamdharau Thurman kwani ameshuhudia mapambano yake mengi na kuwa ni bondia mzuri lakini yeye anachukulia pambano hilo kuwafurahisha mashabiki wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako